✶ kutakua na upepo kubwa maeneo ya bahari ✶ ✶ jua kali kwa maeneo ya mjini magharib ✶ ✶ hali ya jua kali kwa baadhi ya maeneo ✶ ✶ upepo kubwa katika baadhi ya maeneo ✶ ✶ mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ✶
Karibu kuwasilisha taarifa za tukio
Mfumo huu umetengenezwa ili kurahisisha utoaji wa taarifa za maafa kwa ajili ya kuzuia au kupunguza madhara.
Ripoti kwa kupiga simu kupitia namba zifuatazo:
Kwa maswali yoyote ya kiteknolojia, tafadhali wasiliana na Timu ya Usaidizi wa ICT kupitia:
info@maafaznz.go.tz