✶ kutakua na upepo kubwa maeneo ya bahari ✶ ✶ jua kali kwa maeneo ya mjini magharib ✶ ✶ hali ya jua kali kwa baadhi ya maeneo ✶ ✶ upepo kubwa katika baadhi ya maeneo ✶ ✶ mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ✶
Mfumo huu umetengenezwa ili kurahisisha utoaji wa taarifa za maafa kwa ajili ya kuzuia au kupunguza madhara.
Ripoti kwa kupiga simu kupitia namba zifuatazo:
Karibu upokee taarifa mbalimbali za maafa kwa wakati husika ikiwa ni pamoja na tahadhari, matukio, elimu ya kujikinga kupitia barua pepe au ujumbe mfupi wa maandishi au mfumo wa simu janja.
Pakua Programu ya Simu
Pata programu kwa Android na iOS
Kwa maswali yoyote ya kiteknolojia, tafadhali wasiliana na Timu ya Usaidizi wa ICT kupitia:
info@maafaznz.go.tz